''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Wednesday, April 10, 2013

UCHUMI NA MAENDELEO


KANUNI ZA 
MAISHA YA USHINDI 

UCHUMI NA MAENDELEO
Kuujenga Ufalme wa Mungu 

Mwl. Mgisa Mtebe

KANUNI ZA KIROHO
Kanuni za kiroho, ni mambo ambayo, tukiyatumia maishani sawasawa, yatasababisha
 Roho Mtakatifu aliye ndani yetu, kuzalisha nguvu za Mungu 
ndani yetu, zitakazotuwezesha kuishi maisha ya ushindi na mafanikio duniani.
KANUNI ZA KIROHO
    Ni mapenzi ya Mungu tuishi maisha ya ushindi na mafanikio ili kutimiza kusudi la Mungu 
na kuishi maisha mazuri kama chombo maalum cha kumsifu na kumwabudu Mungu.
KANUNI ZA KIROHO
Tunaishi katika dunia yenye mifumo ya kila aina ya upinzani kwa mtu wa Mungu;
 hivyo Nguvu za Mungu ni kitu cha lazima katika maisha ya mtu wa Mungu, 
ili kumwezesha kuishi maisha ya ushindi na mafanikio katika dunia kama hii.


KANUNI ZA KIROHO
    Katikati ya upinzani ambao watu wa Mungu tunaupitia duniani, 
Mungu ana njia na kanuni za kutuwezesha kuishi maisha ya ushindi, 
bila kujichafua utakatifu wetu katika mifumo hii ya uovu.KANUNI ZA KIROHO
    Ni mapenzi ya Mungu tuishi maisha ya ushindi na mafanikio 
ili kutimiza kusudi la Mungu na kuishi maisha mazuri 
kama chombo maalum cha kumsifu na kumwabudu Mungu.

KWANINI MAFANIKIO?

1.
Kwa ajili ya Ibada.
(Kanisa la Mtu Binafsi)
Wakolosai 1:16
KWANINI MAFANIKIO?
Mungu anataka watoto wake, tuwe na maisha mazuri, ili tunapopeleka 
ibada kwa Mungu, ibada hiyo ifike kwa Mungu ikiwa safi (fresh), 
yaani ibada isiyo na kelele za moyoni (masumbufu na uchungu).
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
Zaburi 22:3
      Wewe U Mtakatifu, nawe 
“UNAKETI” juu ya sifa za Israel


     “Inhabit”                 “Unaishi”
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
     Zab 22:3
 IDABA ndio kitu cha kwanza kabisa katika moyo wa Mungu, kwasababu

MUNGU ANAISHI KATIKA 
IBADA na SIFA.


SIFA NA IBADA KWA MUNGU
         Kumnyima Mungu ibada
             Ni kama kumnyima 
Samaki maji
Mimea udongo
Binadamu hewa
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
“Umestahili wewe, Bwana Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; 
kwakuwa wewe ndiye uliviumba vitu vyote na kwa mapenzi yako vilkuwako,
 navyo vikaumbwa.”  (Ufunuo 5:23)
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
 Mungu anataka sana kuabudiwa       
  “Kwa maana, Baba anawatafuta 
  watu wa aina hiyo ili wamwabudu.”
(Yohana 4: 23)

SIFA NA IBADA KWA MUNGU
Mungu
Ibada
Nchi
Adam
                                 
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
Mungu anatamani sana kukaa na sisi watoto wake hapa duniani, 
ndio maana anataka dunia yote ijazwe hali ya ibada (atmosphere) kama ilivyo mbinguni
 (masaa 24), ili duniani pia, kuwe na mazingira ya maisha au ya makazi ya Mungu kama ilivyo mbinguni.

SADAKA NA IBADA KWA MUNGU
Ndio maana Mungu alitumia muda mrefu zaidi kuumba Dunia 
kuliko muda aliotumia kumuumba binadamu mwenyewe.
Dunia  =  siku 5
Adam  =  siku 1

SADAKA NA IBADA KWA MUNGU
Hii inaonyesha wazi kwamba, Mungu anajali sana mazingira ya maisha yako;
 kwasababu, ibada nzuri inategemea aina ya maisha ya mtu, na aina ya maisha yanategemea aina ya mazingira anayoishi mtu huyo.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
                           Mungu
                                          
         Ibada                               Nchi 

                            
                             Adam
                                 
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA 
 Ibada nzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa sana na mazingira mazuri.
Kumbukumbu 8:6-18 
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA 
Mazingira yakitibuka, maisha yanatibuka, na maisha yakitibuka, ibada kwa Mungu pia, inatibuka. Hivyo, Shetani anachotafuta ni kumpiga binadamu na mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka duniani. 
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA 
Ili Mungu apate ibada nzuri kutoka kwetu, inamlazimu kutubariki na kututengenezea mazingira mazuri, ili tuweze kuwa na maisha mazuri ya kumtumikia yeye kama vyombo vizuri vya ibada. 
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA 
Rasilimali zote zilizowekwa duniani zimemgharimu  Mungu (expensive investment) kwa makusudi na matarajio kwamba, zitamzalishia kitu cha thamani kuliko vyote moyoni mwake, yaani ibada (kusifiwa na kutukuzwa) 
(1Wakorintho 6:19-20)
KWANINI MAFANIKIO?

2.
Kwa ajili ya Injili.
(Kanisa la Pamoja)
Warumi 10:16
KWANINI MAFANIKIO?
Hagai 1:1-11
Tunatakiwa kuishi maisha ya ushindi na mafanikio, ili tuweze kutegemeza huduma za Injili na Neno la Mungu, kwa dunia inayoangamia kimwili na kiroho.
Malaki 3:7-12
KWANINI MAFANIKIO?
Warumi 10:16
‘Wamwitaje wasiyemwamini? Wamwaminije wasiyemsikia? Wamsikieje wasipohubiriwa? Watahubiriweje wasipopelekwa?
KWANINI MAFANIKIO?
Wakolosai 1:16
Rasilimali zote zilizowekwa na Mungu duniani, zinatakiwa zitumike kwanza, kwa ajili ya kuujenga Ufalme wa Mungu duniani.
Mathayo 6:32-33
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
                           Mungu
                                          
         Ibada                               Nchi 

                            
                             Adam
                                 
KWANINI MAFANIKIO?
Hagai 1:1-11
Kazi yoyote ya Kanisa, inayolenga injili, ikichechemea kwa namna yoyote, mimi na wewe hatuwezi kubarikiwa wala kufanikiwa katika maisha yetu ya kila siku.
Malaki 3:7-12
KWANINI MAFANIKIO?
Hagai 1:1-11
Tunatakiwa kuishi maisha ya ushindi na mafanikio, ili tuweze kutegemeza huduma za Injili na Neno la Mungu, kwa dunia inayoangamia kimwili na kiroho.
Malaki 3:7-12
KWANINI MAFANIKIO?

3.
Kuithamanisha Kazi ya Yesu Msalabani.
2Wakorintho 8:9
KWANINI MAFANIKIO?
2Wakorintho 8:9
Tunatakiwa kuishi maisha ya ushindi na mafanikio, ili tuweze kutegemeza huduma za Injili na Neno la Mungu, kwa dunia inayoangamia kimwili na kiroho.
Yohana 6:1-15
KWANINI MAFANIKIO?
2Wakorintho 8:9
Tunatakiwa kuishi maisha ya ushindi na mafanikio, ili tuweze kutegemeza huduma za Injili na Neno la Mungu, kwa dunia inayoangamia kimwili na kiroho.
Malaki 3:10-12
KAZI YA MALI NA UTAJIRI

2Wakorintho 8:9
‘Yesu alifanyika maskini kwa ajili yetu (ingawa yeye ni tajiri), ili sisi tupate kuwa matajiri kwa umaskini wake’
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU
  Yesu alikufa akiwa amevaa maisha ya kimaskini, ili sisi waumini wake turithi maisha ya ushindi, mafanikio na utajiri kwa malengo ya kuitegemeza kazi ya Mungu duniani (ibada na injili).
KWANINI MAFANIKIO?
2Wakorintho 8:9
Tunatakiwa kuishi maisha ya ushindi na mafanikio, ili tuweze kutegemeza huduma za Injili na Neno la Mungu, kwa dunia inayoangamia kimwili na kiroho.
Yohana 6:1-15
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
2Wakorintho 9:8 – 13
11 Mtatajirishwa kwa kila namna ili mpate kuwa wakarimu kila wakati, ambako kwa kupitia kwetu, ukarimu wenu utamletea Mungu shukrani. 
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
                           Mungu
                                          
         Adam                               Nchi 

                            
                             Adam
                                 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Luka 6:38
38 Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa. Kipimo cha kujaa na kushindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu, kwakuwa… 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI

Luka 6:38
38 … Kipimo kile kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa.”
KAZI YA MALI NA UTAJIRI

Waefeso 4:28
Kila mwizi na aache kuiba; 
asiibe tena; bali afanye kazi, 
ili apate kitu cha kumgawia 
mhitaji (maskini).
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
                           Mungu
                                          
         Ibada                               Nchi 

                            
                             Adam
                                 
SIFA NA IBADA KWA MUNGU
                           Mungu
                                          
         Ibada                               Nchi 

                            
                             Adam
                                 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
2Wakorintho 9:8 – 13
12 Huduma hii mnayofanya si tu kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya watakatifu, bali huzidi sana kwa shukrani nyingi apewazo Mungu. 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
2Wakorintho 9:8 – 13
13Kwa sababu ya huduma ambayo mmejithibitisha wenyewe, watu watamtukuza Mungu kwa ajili ya utii ufuatanao na ukiri wenu wa Injili ya Kristo …
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
34“Ndipo Mfalme atawaambia wale walioko upande wake wa kuume, ‘Njoni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu, urithini Ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
35 Kwa maana nilikuwa na njaa mkanipa chakula, nilikuwa na kiu mkaninywesha, nilikuwa mgeni mkanikaribisha,
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
36 nilikuwa uchi mkanivika, nilikuwa mgonjwa mkanitunza, nami nilikuwa kifungoni mkaja kunitembelea.’ 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
37 “Ndipo wale wenye haki watakapomjibu wakisema, ‘Bwana, ni lini tulikuona una njaa tukakulisha au ukiwa na kiu tukakunywesha?
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
38 Lini tulikuona ukiwa mgeni tukakukaribisha au ukiwa uchi tukakuvika?  39 Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’ 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
40 “Naye Mfalme atawajibu, ‘Amin, amin ninawaambia, kwa jinsi mlimvyotendea mmojawapo wa hawa ndugu Zangu walio wadogo, mlinitendea Mimi.’ 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
41 “Kisha atawaambia wale walio upande Wake wa kushoto, ‘Ondokeni kwangu, ninyi mliolaaniwa, nendeni kwenye moto wa milele alioandaliwa kwa ajili ya ibilisi na malaika zake.
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
42 Kwa maana nilikuwa na njaa hamkunipa chakula, nilikuwa na kiu hamkuninywesha,
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
43 Nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha, nilikuwa uchi hamkunivika, nilikuwa mgonjwa hamkunitunza na nilikuwa gerezani nanyi hamkuja kunitembelea.’ 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
44 “Ndipo wao pia watajibu, ‘Bwana ni lini tulikuona ukiwa na njaa au kiu, au ukiwa mgeni au uchi , au ukiwa mgonjwa na kifungoni na hatuku-kuhudumia?
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
45 “Naye atawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, kwa jinsi ambavyo hamkumtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, hamkunitendea mimi.’
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Mathayo 25:34-46
46 “Ndipo hawa watakapoingia kwenye adhabu ya milele, lakini wale wenye haki wataingia katika uzima wa milele.’’
KAZI YA MALI NA UTAJIRI

 4.  
ILI KUVITUMIA KWA MAHITAJI YETU BINAFSI   Yohana 16:24
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
 1Timotheo 6:17
‘Waagize wale ambao ni matajiri wa ulimwengu huu waache kujivuna, wala wasiweke tumaini lao katika mali ambayo si ya hakika, bali …
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
 1Timotheo 6:17
‘ … wamtumaini Mungu ambaye hutupatia vitu vyote kwa wingi ili tuvitumie kwa furaha’.
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
2Wakorintho 9:8 – 11
8 Naye Mungu aweza kuwapa kila baraka kwa wingi, ili katika mambo yote kila wakati, mwe na kila kitu mnachohitaji, ili mweze kushiriki kwa wingi katika kila kazi njema. 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
2Wakorintho 9:8 – 11
10 Yeye ampaye mpanzi mbegu kwa ajili ya kupanda na mkate kuwa chakula, atawapa na kuzidisha mbegu zenu za kupanda na kuongeza mavuno ya haki yenu. 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
2Wakorintho 9:8 – 11
 11 Mtatajirishwa kwa kila namna, ili mpate kuwa na ukarimu kila wakati, ambako kwa kupitia kwetu, ukarimu wenu utamletea Mungu shukrani.
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
4. Ili tuvitumie kwa furaha
Zaburi 23:1- 2; 
‘Bwana ndiye Mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. Ananilaza katika malisho ya majani mabichi na kuniongoza kando ya mito ya maji.’ 
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
4. Ili tuvitumie kwa furaha

Zaburi 37:4; 
‘Nawe utajifurahisha kwa Bwana Mungu wako, naye atakupa haja za moyo wako’
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
4. Ili tuvitumie kwa furaha
Zaburi 145:17-19 
‘Bwana ni mwenye fadhili na mwenye haki kwa wale wamwitao; naye atawafanyi wamchao matakwa yao.’
KAZI YA MALI NA UTAJIRI
Wafilipi 4:6-7,19; 
‘Msijisumbue kwa neno lolote, isipokuwa kwa kusali na kuomba; haja zenu zijilikane kwa Bwana; atawajaza kila mnachohitaji, kwa kadri ya utajiri wake katika Yesu’.
KANUNI ZA KIROHO
    Ni mapenzi ya Mungu tuishi maisha ya ushindi na mafanikio ili kutimiza kusudi la Mungu la kuishi maisha mazuri kama vyombo maalum vya kumsifu na kumwabudu Mungu.
KANUNI ZA KIROHO
Tunaishi katika dunia yenye mifumo ya kila aina ya upinzani kwa mtu wa Mungu; hivyo Nguvu za Mungu ni kitu cha lazima katika maisha ya mtu wa Mungu, ili kumwezesha kuishi maisha ya ushindi na mafanikio katika dunia kama hii.


KANUNI ZA KIROHO
    Katikati ya upinzani ambao watu wa Mungu tunaupitia duniani, Mungu ana njia na kanuni za kutuwezesha kuishi maisha ya ushindi, bila kujichafua utakatifu wetu katika mifumo hii ya uovu.
MBINU ZA MAISHA YA USHINDI NA MAFANIKIO
Kanuni za Uzalishaji Mali
(Uchumi na Maendeleo)

“Kanuni za Kimwili za 
Maisha ya Ushindi na Mafanikio”


Uchumi na Maendeleo
Mwanzo 1:26-28, Mwanzo 2:4-15
Baraka za Mungu katika maisha yetu, zitadhihirika katika ulimwengu wa mwili (kutoka katika ulimwengu wa roho) pale tutakapochukua hatua ya kufanya kazi na kuwa wazalisha mali (productive).
Uchumi na Maendeleo

Kwa Mfano;
Tangu Uumbaji wa Dunia
Mwanzo 1:1-5, 14-19


Uchumi na Maendeleo

Baraka hizo za Mungu katika maisha yetu, zitadhihirika katika ulimwengu wa mwili (kutoka katika ulimwengu wa roho) pale tutakapochukua hatua ya kufanya kazi na kuwa wazalisha mali (productive).
Uchumi na Maendeleo

Kwa Mfano;
Tangu Uumbaji wa Dunia
Mwanzo 2:4-15
Mwanzo 1:26-28
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 2:4-15
4-5 ‘… Siku ile Mungu alipoziumba mbingu na nchi, hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga haijachipuka bado, kwasababu …’
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 2:4-15
4-5 ‘… Bwana Mungu alikuwa bado hajainyeshea nchi mvua, wala hapakuwepo na mtu wa kuilima ardhi.

Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 1:26-28

26 ‘Mungu akasema, tufanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu, wakatawale kila kitu tulichokiumba katika nchi’
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 1:26-28

28 ‘Bwana Mungu akaumba Mwanaume na Mwanamke, akawaweka katika bustani ya Eden, akawaambia, ‘zaeni na kuongezeka na kuitawala nchi.’
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 2:4-15
15 ‘… Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Eden, ili ailime na kuitunza.

Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 2:4-15
Kazi si laana, Kazi si matokeo ya dhambi, kazi ni baraka. Kabla hata dhambi haijaja duniani (kazi ilikuwepo). Tuliumbwa ili tufanya kazi.


Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 12:1-3
‘Bwana Mungu akamwambia Ibrahimu, Nitakubariki sana hata kukufanya wewe uwe baraka. Nitalikuza jina lako, na mataifa yote yatabarikiwa kupitia wewe’.
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 13:1-3
2 ‘Naye Ibrahimu akawa tajiri sana, katika mifugo, na katika fedha na katika dhahabu’.
Uchumi na Maendeleo
Mwanzo 1:26-28, Mwanzo 2:4-15
Baraka za Mungu katika maisha yetu, zitadhihirika katika ulimwengu wa mwili (kutoka katika ulimwengu wa roho) pale tutakapochukua hatua ya kufanya kazi na kuwa wazalisha mali (productive).


Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 26:1-5, 12-13
1-5 ‘Bwana Mungu akamwambia Isaka, hakika nitakubariki kwasababu ya ibrahimu Baba yako na ahadi zake juu yake.
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 26:1-5, 12-13
12 ‘Naye Isaka akapanda mbegu, katika nchi ile, akapata mwaka ule, vipimo mia (100) kwa kimoja (1) na bwana akambariki’.
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 26:1-5, 12-13
13 ‘Mtu huyo Isaka, akawa mkuu, akazidi kustawi, hata akawa mkuu sana’.
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 26:1-5, 12-13
13 ‘Mtu huyo Isaka, akawa mkuu, akazidi kustawi, hata akawa mkuu sana’.
Uchumi na Maendeleo

Kwa Mfano;
Mungu Baba yako
Mwanzo 1:26
Mwanzo 2:7
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 1:26
‘Tufanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu, wakatawale kila kitu tulichokiumba’
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 2:7
‘Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia pumzi iliyo hai puani mwake, ndipo mtu akawa nafsi hai’

Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 2:1-2
‘Na siku ya saba, Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya, akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake aliyoifanya.
Uchumi na Maendeleo

Kutoka 20:11
‘Maana kwa siku sita, Bwana Mungu wako alifanya kazi, akaumba mbingu na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba ...’
Uchumi na Maendeleo

Kutoka 20:11
Ikiwa Mungu Baba yako ni mfanyakazi, itakuwaje wewe kiumbe wake usifanye kazi wakati, wewe kiumbe ni matokeo ya kazi ya Mungu? 
Uchumi na Maendeleo

Kutoka 20:11
Ikiwa Mungu Baba yako ni mfanyakazi, itakuwaje wewe kiumbe wake usifanye kazi wakati, wewe kiumbe ni matokeo ya kazi ya Mungu? 
Uchumi na Maendeleo

Mwanzo 2:4-15
Kazi si laana, Kazi si matokeo ya dhambi, kazi ni baraka. Kabla hata dhambi haijaja duniani (kazi ilikuwepo). Tuliumbwa ili tufanya kazi.
Uchumi na Maendeleo

Waefeso 4:28
“Mwibaji asiibe tena, bali kwa mikono yake, afanye kazi kwa juhudi, ili apate kitu cha kumgawia mhitaji.
Uchumi na Maendeleo

Baraka za Mungu katika maisha yetu, zitadhihirika katika ulimwengu wa mwili (kutoka katika ulimwengu wa roho) pale tutakapochukua hatua ya kufanya kazi na kuwa wazalisha mali (productive).

KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

USHIRIKA WA MUNGU NA BINADAMU KATIKA KUITAWALA DUNIA
1Wakorintho 3:9
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
1Wakorintho 3:9
9 Kwa maana sisi tu watenda kazi pamoja na Mungu. 
(kwa ushindi na mafanikio)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Warumi 8:28-30
28 Na kwahiyo basi, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao, katika kuwapatia mema. 
(ushindi, faida na mafanikio)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Ukweli ni Kwamba …
Mungu anaweza kufanya kila kitu pasipo msaada wa binadamu, lakini alichagua tu, kufanya kazi kwa ushirika na binadamu; kwahiyo, kuna ‘partnership’ kati ya Mungu na binadamu katika kutawala dunia.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Mwanzo 1:26,18
26 Tufanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu wakatawale dunia na vyote tulivyoviumba juu ya uso wa dunia.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Mwanzo 1:26-18
28 Mungu akaumba Mwanaume na Mwanamke, akawaweka katika bustani ya dunia, akawaambia, zaeni mkaongezeke na kuitawala (kuitiisha) dunia.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Zaburi 115:16
Mbingu ni mbingu za Bwana, bali nchi amewapa wanadamu

Isaya 45:11
… kwa habari ya kazi za mikono yangu, haya niagizeni (niamuruni)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Mathayo 16:18-19
19 Kwa maana nitawapa funguo za Ufalme, na mambo mtakayoyafunga (ninyi) yatakuwa yamefungwa (mbinguni), na mambo mtakayoyafungua  (ninyi) yatakuwa yamefunguliwa (mbinguni)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Mathayo 16:18-19
18 Na milango ya kuzimu 
haitaweza kulishinda kanisa 
langu nitakalolijenga  
(kwa mfumo huu).     
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Mathayo 16:18-19
Mistari hii yote, inaonyesha wazi kwamba, ili mapenzi ya Mungu yatimizwe duniani (baraka na ushindi) ni lazima binadamu naye afanye wajibu wake ili kulitimiza kusudi la Mungu duniani
Uchumi na Maendeleo

Baraka za Mungu katika maisha yetu, zitadhihirika katika ulimwengu wa mwili (kutoka katika ulimwengu wa roho) pale tutakapochukua hatua ya kufanya kazi na kuwa wazalisha mali (productive).
MBINU ZA MAISHA YA USHINDI NA MAFANIKIO
Kanuni za Kiroho za Ushindi na Mafanikio
(Uchumi na Maendeleo)

IMANI YA USHINDI
1Yohana 5:1-4
4 Kwa maana, kila kitu kilichozaliwa na Mungu, huushinda ulimwengu, na huku ndiko kushinda, kuushindako ulimwengu, ni hiyo Imani yetu.” 
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU


Waebrania 11:6
‘Pasipo Imani haiwezekani kumpendeza Mungu.’
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU


Waebrania 10:38
‘Mwenye haki wangu, ataishi kwa Imani, naye akisitasita, Roho yangu haitamfurahia.’
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

Ikiwa imani ndiyo siri ya ushindi wetu duniani na ikiwa imani ndio kitu kinachokufanya uwe rafiki wa Mungu ili kutembea naye duniani; 

Imani ni nini?
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

Waebrania 11:1
Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo, ni bayana (uthibitisho) wa mambo yasiyoonekana.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Waebrania 11:1
Ni uhakika wa mambo yatarajiwayo, mambo ambayo bado hayajatokea, lakini tuna uhakika (imani) kwamba, hayo mambo yapo, na yatatokea baada ya muda (tunayatarajia).
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Waebrania 11:1
Kwa sasa hatuyaoni (hayaonekani), kwasababu bado hayajatokea, lakini tuna uhakika (imani) kwamba, hayo mambo yapo, na yakuja baada ya muda (tunayatarajia).
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU


Waebrania 11:1
Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yasiyoonekana.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
Waebrania 11:1
Kwahiyo, hata kama huoni kwa macho au hujashika kwa mikono, lakini amini tu kwamba, hayo mambo yapo na yanakuja kutokea, baada ya muda; hivyo anza kukiri ushindi. 

KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

Hatua Muhimu ya Kwanza;

1. Kutambua Nguvu ya 
Neno la Mungu
Waebrania 4:12
2Timotheo 3:16-17
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU
(Warumi 10:17)


No comments:

Post a Comment