Mungu awabariki sana kanisa langu lilonilea pamoja na mch.Mhini nawapenda wote.someni kutoka 14;14 jumapili njema mimi kijana wenu Hopeson Mwaipalu
Hello kaka, asante sana kaka yetu Hopeson, bado tunakupenda na kukukumbuka sana. Ukirudi dar karibu sana kanisani
wow.., miaka kama 22 imeita tangu nihame.... kanisa la utotoni mwangu, ninawakumbuka mno, baadhi ya nyuso (wengine hadi majina) ninakumbuka bado. nilifurahia sana enzi zangu za utotoni hapo.
Mungu awabariki sana kanisa langu lilonilea pamoja na mch.Mhini nawapenda wote.someni kutoka 14;14 jumapili njema mimi kijana wenu Hopeson Mwaipalu
ReplyDeleteHello kaka, asante sana kaka yetu Hopeson, bado tunakupenda na kukukumbuka sana. Ukirudi dar karibu sana kanisani
Deletewow.., miaka kama 22 imeita tangu nihame....
ReplyDeletekanisa la utotoni mwangu,
ninawakumbuka mno, baadhi ya nyuso (wengine hadi majina) ninakumbuka bado. nilifurahia sana enzi zangu za utotoni hapo.