---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Katika kanisa letu tuna huduma mbalimbali zitolewazo.
Huduma hizo ni pamoja na injili vijijini, kutembelea wajane na wasio jiweza mahospitalini n.k
Pia tunainua makanisa machanga kwa kuhakikisha yanakuwa na kusimama imara.
Tunazo kwaya mbili nazo ni Imani kwaya pamoja na Penuel singers.
Zote hizi zinafanya huduma mbalimbali hapa kanisani ikiwemo kushuhudia.
No comments:
Post a Comment