''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Thursday, January 2, 2014

IBADA YA MWAKA MPYA 2014

                                              KIPINDI CHA SIFA NA KUABUDU..


Imani kwaya wakimwimbia Mungu

Mzee Msaki akielezea baadhi ya mambo Mungu aliyoyafanya kwa kanisa katika mwaka 2013

Mwimbaji Angel Mdoe akiimba moja ya nyimbo zake na watoto


Wajane wakitoa shurani kwa Mungu kwa kuwasaidia mwaka 2013

Watoto wakiwekwa wakfu kwa Mungu kwa ajili ya mwaka mpya 2014

Vijana wakiwekwa wakfu kwa Mungu kwa ajili ya mwaka mpya 2014

Watoto wakiwekwa wakfu kwa Mungu kwa ajili ya mwaka mpya 2014

No comments:

Post a Comment