''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Wednesday, July 2, 2014

MWITO MKUU WA MUNGUMhubiri: OBADAH MSAKI 
Maandiko: Wafilipi 3:13-14
 
Mungu ni Roho, kwahiyo tunatakiwa kumuabudu Mungu katika roho na kweli, ulipokuwa mdogo unakumbuka wazazi walikuwa wanakuita na ukaanza kugundua kuwa ni wewe ndo unaitwa na ulivyoendelea kukuwa marafiki zako wakaanza kukuita na wanavyokuita walitegemea uitike, na ukiitwa na baba labda unakimbia, lakini leo tunaongolea wito wa kuitwa na Mungu.  Wafilipi 3:13-14, Paul alihakikisha siku ile atakuwepo pale, na hii ndio mwito wa Mungu Waebrania 3:1, Paul anaongolea wito, sio wito kutoka hapa duniani, wala sio kutoka kwenye mwezi bali ni kutoka kwa Mungu mwenyewe, kuna sehemu 365 zinazosema usiogope lakini kwenye hii Ebrania 3 anasema uogope, uogope kwasababu ukikosa huu wito utakuwa huna sehemu ya kwenda.

No comments:

Post a Comment