| Wafiwa wakisubiria mwili nyumbani kwa mchungaji Mhini. |
| Mwili wa marehemu Dorah ukiwasili nyumbani kwao tegeta. |
| Mwili wa marehemu Dorah ukiwa kanisani kwa ibada ya mazishi. |
| Mch. Meshack Mhini akipewa pole na wachungaji wenzake. |
| Wanawake jasiri wa WWK mwenge baada ya kuandaa mwili kwa ajili ya kuaga. |
| Mwili wa marehemu Dorah Mhini. |
| Watu mbalimbali wakiwa wanatoa heshima za mwisho. |
| Watu mbalimbali wakitoa heshima za mwisho. |
| Mch. Meshack Mhini (Baba wa marehemu) akitoa heshima za mwisho. |
| Mama Dyness Mhini (Mama wa marehemu) akitoa heshima za mwisho. |
| Mhini (Kaka wa marehemu) akitoa heshima za mwisho. |
| Baraka Abdiel Mhini (Mdogo wa mwisho wa marehemu) akitoa heshima za mwisho. |
| Tera Abdiel Mhini (Kaka wa kwanza wa marehemu) akitoa heshima za mwisho |
No comments:
Post a Comment