''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Monday, February 18, 2013

NDOA KATI YA ELISHA SUKU NA CAROLINE YAFUNGWA!
----------------------------------------------------------------------
Hii ni harusi ya kwanza kabisa katika mwaka huu kufungwa Mwenge TAG, ilikuwa ni furaha isiyoelezeka..., ndoa hiyo ni kati ya Mkurugenzi wa Vijana (CA's) Elisha Suku na dada Caroline.


                                              Imani kwaya wakiimba katika harusi hiyo


Kama mnavyojua Elisha ni mwana praise team kwahiyo hakusita kusimama yeye na mke wake kucheza wakati Imani kwaya wakiimba


No comments:

Post a Comment