''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Saturday, October 5, 2013

SHUKRANI KUTOKA KWA MCH. MHINIFamilia ya Mch. Abdiel Meshack Mhini, tunamshukuru Bwana Yesu kwa kutimiza mapenzi yake, pili tunalishukuru kanisa kwa maombi na moyo wa upendo na kujitoa kwenu katika kipindi chote cha mpendwa wetu Dorah alipokua hawezi . Tunawashukuru Military Hospital-Lugalo bila kusahau Dr. Mwandolela wa hemedal Clinic, eneo la Scout(Makao Makuu)

Mwisho tunawashukuru ndugu, jamaa na marafiki wa karibu kwa ujumla kwa moyo wa upendo na ukarimu mpaka sasa

Mungu wa Mbinguni awabariki sana na kuwazidishia mara dufu pale palipopungua. Jina la Bwana libarikiwe.

No comments:

Post a Comment