''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Wednesday, October 2, 2013

MAZISHI YA DORAH A. MHINI

Wafiwa wakisubiria mwili nyumbani kwa mchungaji Mhini.

Mwili wa marehemu Dorah ukiwasili nyumbani kwao tegeta.

Mwili wa marehemu Dorah ukiwa kanisani kwa ibada ya mazishi.

Mch. Meshack Mhini akipewa pole na wachungaji wenzake.

Wanawake jasiri wa WWK mwenge baada ya kuandaa mwili kwa ajili ya kuaga.

Mwili wa marehemu Dorah Mhini.

Watu mbalimbali wakiwa wanatoa heshima za mwisho.

Watu mbalimbali wakitoa heshima za mwisho.

Mch. Meshack Mhini (Baba wa marehemu) akitoa heshima za mwisho.

Mama Dyness Mhini (Mama wa marehemu) akitoa heshima za mwisho.

 Mhini (Kaka wa marehemu) akitoa heshima za mwisho.

Baraka Abdiel Mhini (Mdogo wa mwisho wa marehemu) akitoa heshima za mwisho.

Tera Abdiel Mhini (Kaka wa kwanza wa marehemu) akitoa heshima za mwisho

No comments:

Post a Comment