''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, October 23, 2016

MWANGALIZI (ALIYEPITA) WA SECTION YA KINONDONI APONGEZWA LEO MWENGE TAG KWA KAZI YAKE NJEMA

Mwangalizi mpya Mch. Dr. Mbwilu (Kulia) na Mwangalizi aliyepita Mch. Abdiel Mhini (Kushoto) wakiwa kwenye maongezi ya furaha.

Uongozi mpya wa Mwangalizi wa Kinondoni ukimpa zawadi Mwangalizi aliyepita

Picha ya pamoja Uongozi mpya wa mwangalizi na Mwangalizi aliyepita na mke wake

Mch. Mhini (mwangalizi aliyepita) akitoa hotuba fupi

Mama Mch. Mhini akimshukuru Mungu kwa kuwasaidia kipindi chao chote cha uongozi

Mwenge Praise Team ilitoa zawadi maalum ya keki kwa Mchungaji Wao Kiongozi / Mwangalizi aliyemaliza muda wake

Zawadi nyingine kutoka kwa Mwenge Praise Team

Mwenge Praise Team (kulia) na Mlezi wao Mrs. Masembo (kushoto) wakifurahia baada ya kukabidhi zawadi yao


Mwangalizi aliyepita na mke wake kwa furaha kabisa wakijiandaa kukata keki


Zoezi la ukataji wa keki

Mama Mwangalizi aliyepita (Mrs. Mhini) akimpongeza mume wake kwa kazi nzuri

Mwangalizi Aliyepita akimshukuru mke wake mpendwa kwa zawadi nzuri

Mwangalizi aliyepita akimlisha keki Makamu Mwangalizi Mpya wa section ya Kinondoni

Mwangalizi aliyepita akimlisha keki Katibu wa Section ya Kinondoni

Mama Mwangalizi Mpya (Kushoto) na Mama Mwangalizi aliyepita wakikumbatiana baada ya kulishwa keki

Uongozi wa WWK Section ya Kinondoni ukimpa hongera Mwangalizi aliyepita

WWK Mwenge TAG wakimpongeza Mchungaji wao Mwangalizi aliyepita kwa kazi yake nzuri

Imani Kwaya ya Mwenge TAG ikimpongeza Mchungaji wao mwangalizi aliyepita

Watoto wa Mwenge TAG wakimletea zawadi kwa furaha Mchungaji wao ambaye ni mwangalizi aliyepita

Watoto wa Mwenge TAG na Mwangalizi aliyepita

No comments:

Post a Comment