''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Monday, November 21, 2016

UAMSHO


Mhubiri: Mch. Kiongozi Abdiel Meshark Mhini
Neno: 2Nyakati 7:14-15, 1Petro 4:17, Luka 14:25-26

Uamsho ni badiliko la rohoni kutoka kwenye hali ya kufa kuja kwenye hali ya kuwa hai, baridi kwenda kwenye moto. 
 
KANUNI MBILI KUBWA ZA KUPATA UAMSHO
1. Kujinyenyekeza kwa Mungu, kwa kuomba na kusoma Neno la Mungu
2. Kujikana mwenyewe kwa ajili ya Kristo; Luka 9:23 "Akawaambia wote, Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate."
 
NINI CHA KUFANYA ILI UPATE UAMSHO
1. Kusoma Neno la Mungu kila siku
2. Omba msamaha kwa Mungu na usirudie tena yaliyokurudisha nyuma
3. Jua mitego na mbinu za shetani
4. Kuwa na ratiba nzuri ya maombi yatakayo fanya uwe na uhusiano wa karibu na Mungu kila siku.

No comments:

Post a Comment