Mhubiri: Mr. Frank Mwalongo
Maandiko: Mathayo 26:36-46, Luka 22:43-44
Hichi ni kipindi Yesu alichokuwa anakaribia kuteswa, aliwachukua baadhi ya wanafunzi wake kwenda kuomba.
Katika Luka 26:39 "Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe".
Yesu anamuomba Baba yake lakini sio kama mapenzi yake apendavyo bali kama mapenzi ya Baba yake, tunaona Yesu aliweka mapenzi ya Mungu mbele kuliko mapenzi yake mwenyewe. Na mara ya pili katika sura hiyo Luka 26:42 "Akaenda tena mara ya pili, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa, mapenzi yako yatimizwe". Yesu anaomba tena lakini kama mapenzi ya Mungu yatakavyo, Yesu hakuangalia vingine bali aliangalia mapenzi ya Mungu.
Wakati ule alivyokuwa ndani ya mwili alikuwa anajua mateso na maumivu yatayo mpata kwahiyo alikuwa anaomba kama kikombe kile kama kuna uwezekano kimuepuke lakini si kwa mapenzi yake bali kwa mapenzi ya Mungu kwasababu alijali sana mapenzi ya Mungu. Yeu alikuwa yuko tayari kwa lolote ili tu mapenzi ya Mungu yatimie. Je na wewe leo upo tayari kwa lolote ili tu mapenzi ya Mungu yatimie?
Watu wengi wamekuwa wakipenda kufuata mapenzi yao na kuacha kusikiliza mapenzi ya Mungu. Sio kuhusu mapenzi yako, au nini unachotaka bali mapenzi ya Mungu, nini Mungu anachotaka ukifanye. Yesu hakuomba ili mwili wake unavyotaka kitokee bali alijikaza ili mapenzi ya Mungu yatimie.
Je, kila kitu unachofanya kuna mapenzi ya Mungu ndani yake?. Kuna mapenzi ya Mungu kwa kila jambo; badala ya kusema nataka kazi ile, au nataka kwenda kukaa sehemu fulani au nataka kuolowe na fulani; hebu jiulize Je Mungu anataka nifanye kazi wapi? na ipi?, anataka nikae wapi?, anataka niingie kwenye ndoa na nani? yawezekana unampenda mwingine tofauti na yule Mungu aliye kuongoza, sasa kama utafuata mapenzi yako badae utajuta na kupata matatizo ambayo usingeyapata kama ungetafuta kujua Mungu anasema nini na kufuata aliye/alicho kuelekeza.
Kuna upinzani mkubwa kati ya mapenzi yako na mapenzi ya Mungu; mfano ukipata pesa mapenzi yako yanasema usitoe pesa hiyo kwa Mungu lakini mapenzi ya Mungu yanakwambia toa fungu la kumi. Lakini kumbuka sio kuhusu mapenzi yako bali timiza mapenzi ya Mungu.
Ukijua mapenzi ya Mungu utafanikiwa sana kwenye maisha yako, Je nini mapenzi ya juu ya maisha yako?. Je unajua mapenzi ya Mungu kwako? Lakini huwezi kujua mapenzi ya Mungu kama huna mawasiliano mazuri na Mungu.
Zaburi 143:10 "Unifundishe kuyatenda mapenzi yako, Kwa maana ndiwe Mungu wangu; Roho yako mwema aniongoze kwenye nchi sawa," Mfalme Daudi alimuomba Mungu amfundishe jinsi ya kufanya mapenzi yake, Na wewe leo Muombe Mungu akufundishe kufanya mapenzi yake.
Uchawi wa mapenzi wa Dkt. Dawn hufanya maajabu kweli.
ReplyDeleteNiliwasiliana na Dkt. Dawn wakati uhusiano wangu ulipovunjika kabisa. Mpenzi wangu wa zamani alikuwa ameniacha na kunizuia kwenye mitandao yote ya kijamii. Nilivunjika moyo na kupoteza tumaini. Baada ya kushauriana na Dkt. Dawn, kila kitu kilibadilika. Mpenzi wangu wa zamani alirudi peke yake, akaomba msamaha kwa dhati, na akaomba msamaha. Leo, tunaishi pamoja kwa furaha, na hata tuna mtoto.
Maneno hayatoshi kuelezea jinsi ninavyoshukuru. Kutokana na uzoefu wangu, naweza kusema kwa ujasiri kwamba Dkt. Dawn ni halisi, anayetegemewa, na mwenye nguvu. Ikiwa unakabiliwa na hali yoyote ngumu maishani mwako hivi sasa, Dkt. Dawn anaweza kukusaidia.
ANAWEZA KUKUSAIDIA KWA MATATIZO YAFUATAYO:
Kurudisha ndoa na mahusiano yaliyovunjika
Kuvutia mafanikio na ukuaji katika biashara
Matatizo ya uanaume, utasa, na ukosefu wa watoto
Kurejesha mali zilizoibiwa au zilizopotea
Kurudisha kazi zilizopotea au fursa za kazi
Kinga dhidi ya uchawi na macho mabaya
Hirizi za mvuto
Kutatua migogoro ya ardhi na mali
Kuwafanya wapenzi kutimiza ahadi zao
Kushinda kesi mahakamani, na mengine mengi
Huu si ulaghai — ni ushuhuda kutoka kwa uzoefu.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana naye moja kwa moja kwenye WhatsApp. +2349046229159. dawnacuna314@gmail.com
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
ReplyDeleteMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ndiyo tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159 dawnacuna314@gmail.com