Mhubiri: Mch: Timoth Mwita
Maandiko: Matendo Ya Mitume 2:38-39, 2:41, 9:1-18, 8:14, 2:4.
KANUNI ZINAZOASHIRIA KUJAZWA KWA URAHISI NA ROHO MTAKATIFU
1. Ahadi ya Roho Mtakatifu ni kwa kila mmoja wetu.(Matendo 2:38-39)
-ili nijazwe Roho nahitaji kutubu dhambi zangu na kuokoka.
-Ahadi ya Roho Mtakatifu ni kwa kila mmoja wetu na vizazi hata vizazi.
2. Ahadi Ya Roho Mtakatifu Ni Sasa Hivi.
3. Kujazwa Roho Mtakatifu Hakuhitaji Sifa Za Kiroho.(Matendo 2:41, 9:1-18, 8:14)
4. Roho Mtakatifu Ndiye Lugha Ya Kitaalamu Ya Mawasiliano Ya Kimbingu.
5. Roho Mtakatifu Ndiye Anayetupa Cha Kutamka.(Matendo 2:4)
No comments:
Post a Comment