Leo kanisani Mwenge imezinduliwa rasmi ibada ya watoto. Ibada hiyo ilizinduliwa rasmi na mchungaji kiongozi Abdiel Meshack Mhini, akiizungumzia ibada hiyo mchungaji Mhini alimteuwa Mrs. Mumghamba kuwa mchungaji wa kanisa hilo. Habari zaidi zitafuata punde...
No comments:
Post a Comment