KARIBU MWENGE TAG, WE'RE BACK AGAIN!
----------------------------------------------------
----------------------------------------------------
Ndugu Msomaji Tunakukaribisha kujiunga na Tanzania assemblies of God Mwenge Leo.
Nafasi yako ipo.Njoo upokee Faraja,Uponyaji na Mafundisho ya Bwana Yesu Christo.
Tumefungua upya blog hii ili kuweza kukupatia wewe msaada wa kiroho katika mafundisho mbalimbali. Endelea kufuatilia blog yetu na Mungu akubariki.
No comments:
Post a Comment