''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Sunday, May 4, 2014

SIKUKUU YA UMOJA WA WANAUME WA KIKRISTO (CMF)!!

WANAUME WOTE KATIKA KANISA LA TAG MWENGE WAKIFURAHIA SIKU YAO KWANI NI MARA YA KWANZA KUFANYIKA KITAIFA.

wanaume wakijiandaa kuingia kwa maandamano

wanaume wakiwa wanaingia kanisani kwa maandamano

wanaume wakiwa wanaingia kanisani kwa maandamano

wanaume wakiwa wanaingia kanisani kwa maandamano

wanaume wakiwa wanaingia kanisani kwa maandamano

wanaume wakiwa wanaingia kanisani kwa maandamano

wanaume wakienda mbele wote kwa ajili ya kuimba kwa pamoja

wanaume wakienda mbele wote kwa ajili ya kuimba kwa pamoja

wanaume wote walipanda kwenye jukwaa ili kuimba wimbo wa pamoja

wanaume wakipanda kwenye jukwaa

wanaume wakiwa wanajipanga ili kuanza kuimba wimbo wa pamoja

wanaume wakihudumu katika vyombo vya muziki

wanaume wote wenye sare na wasio na sare walipanda kwenye jukwaa ili kuimba wimbo wa pamoja

kwenye viti kukibaki bila mwanaume hata mmoja kwa kuwa waliogopa kuitwa wanawake

wakati wa kumsifu Mungu kwa pamoja

Wakati wa sifa baadhi ya wanaume walitoka kumchezea Mungu

Wakati wa sifa baadhi ya wanaume walitoka kumchezea Mungu

Mr. Kinabo akiwa ana hubiri
Mtumishi wa Bwana Mr. Kinabo akiwa anatoa Neno

Watu wakisikiliza Neno la Bwana

Watu wakisikiliza Neno la Bwana

Viongozi wa wanaume wakiwategemeza wachungaji na familia zao

Picha ya pamoja ya viongozi wa CMF na Wachungaji na wake zao

No comments:

Post a Comment