''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Monday, September 14, 2015

SIKU YA MFADHILI WETU KATIKA PICHA

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA MFADHILI

MCH.KIONGOZI MCH.ABDIEL MESHARK MHINI

JENGO JIPYA LA OFISI NA KITEGA UCHUMI CHA KANISA LA
TAG MWENGE CHRISTIAN CENTRE LITAKAVYOKUWA

MWONEKANO WA PEMBENI

MWENYEKITI WA KAMATI YA UJENZI NDG.ALBERT PETER NA MSANIFU WA MAJENGO
AKITOA TATHMINI YA MCHAKATO WA UJENZI UTAKAVYOKUWA.

MWENYEKITI WA KAMATI YA UJENZI AKIKABIDHI KWA MCHUNGAJI KIONGOZI
MCH.A.M MHINI MICHORO YA JENGO JIPYA 

MCHUNGAJI KIONGOZI AKIMKABIDHI MGENI RASMI MAKAMU AKOFU.DKR.MAGNUS MHICHE
MICHORO YA JENGO JIPYA LA OFISI NA KITEGA UCHUMI CHA KANISA 


MGENI RASMI AKIPOKEA MICHORO HIYO

MGENI RASMI AKIWA NA MKE WAKE

JUKWAA LA UZINDUZI WA MICHORO YA JENGO JIPYA

MGENI RASMI TAYARI KWA UZINDUZI WA RAMANI YA MICHORO HIYO

MGENI RASMI TAYARI AKIZINDUA RAMANI YA MICHORO

MGENI RASMI NA MCHUNGAJI KIONGOZI WAKIOMBEA RAMANI YA MICHORO HIYO
BAADA YA KUZINDULIWA RASMI

SASA IMEZINDULIWA RASMIMWENYEKITI WA KAMATI YA UJENZI NDG.ALBERT PETER NA MSANIFU WA MAJENGO
AKIKABIDHI MICHORO KWA MAKAMU ASKOFU WA TAG ASKOFU.DKR.MAGNUS MHICHE.

NDUGU WITSI AKITOA HARAMBEE YAKE KATIKA SIKU HII

NDUGU JESSE MADAUDA AKICHANGIA KATIKA HARAMBEE HIYO


KEKI MAALUM YENYE PICHA YA JENGO JIPYA LITAKAVYOKUWA
MAHSUSI KWA AJILI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MFADHILI WETU


MGENI RASMI AKIPOKEA KEKI MAALUM YENYE PICHA YA JENGO JIPYA
KUTOKA KWA MWENYEKITI WA KAMATI YA UJENZI PAMOJA NA WAKE ZAO.


TAG MWENGE WAKITOA ZAWADI YA PIKIPIKI KWA SHUGHULI ZA UMISHENI TANZANIA

MAKAMU ASKOFU MKUU WA TAG, ASKOFU.DKR. MAGNUS MHICHE AKIZINDUA PIKIPIKI YA UMISHENI
HARAMBEE IKIENDELEABAADHI YA WASHIRIKA WA ZAMANI WALIOKARIBISHWA
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA 

MGENI RASMI  NA MCH.KIONGOZI A.M MHINI WAKIWA NA BAADHI YA WASHIRIKA WA ZAMANI
WALIOKARIBISHWA KATIKA MAADHIMISHO WAKIWA 
KATIKA PICHA YA PAMOJA


No comments:

Post a Comment