''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Monday, September 14, 2015

SIKU YA MFADHILI WETU ILIVYOFANA





Leo (13.09.2015) tunaadhimisha siku ya Mfadhili wetu ambaye ni Mungu hapa kanisani. Siku hii inaadhimishwa kila mwaka mwezi  wa tisa.

Maadhimisho haya yameambatana na shughuli za uzinduzi wa mfuko wa ujenzi pamoja na kuweka wakfu
michoro ya jengo la ofisi na kitega uchumi cha kanisa letu.

Michoro imewekwa wakfu na mgeni rasmi ambaye ni makamu askofu
Mkuu wa kanisa la TAG Askofu.Dkt. Magnus Mhiche.

No comments:

Post a Comment