![]() |
Mwangalizi mpya Mch. Dr. Mbwilu (Kulia) na Mwangalizi aliyepita Mch. Abdiel Mhini (Kushoto) wakiwa kwenye maongezi ya furaha. |
![]() |
Uongozi mpya wa Mwangalizi wa Kinondoni ukimpa zawadi Mwangalizi aliyepita |
![]() |
Picha ya pamoja Uongozi mpya wa mwangalizi na Mwangalizi aliyepita na mke wake |
![]() |
Mch. Mhini (mwangalizi aliyepita) akitoa hotuba fupi |
![]() |
Mama Mch. Mhini akimshukuru Mungu kwa kuwasaidia kipindi chao chote cha uongozi |
![]() |
Mwenge Praise Team ilitoa zawadi maalum ya keki kwa Mchungaji Wao Kiongozi / Mwangalizi aliyemaliza muda wake |
![]() |
Zawadi nyingine kutoka kwa Mwenge Praise Team |
![]() |
Mwenge Praise Team (kulia) na Mlezi wao Mrs. Masembo (kushoto) wakifurahia baada ya kukabidhi zawadi yao |
![]() |
Mwangalizi aliyepita na mke wake kwa furaha kabisa wakijiandaa kukata keki |
![]() |
Zoezi la ukataji wa keki |
![]() |
Mama Mwangalizi aliyepita (Mrs. Mhini) akimpongeza mume wake kwa kazi nzuri |
![]() |
Mwangalizi Aliyepita akimshukuru mke wake mpendwa kwa zawadi nzuri |
![]() |
Mwangalizi aliyepita akimlisha keki Makamu Mwangalizi Mpya wa section ya Kinondoni |
![]() |
Mwangalizi aliyepita akimlisha keki Katibu wa Section ya Kinondoni |
![]() |
Mama Mwangalizi Mpya (Kushoto) na Mama Mwangalizi aliyepita wakikumbatiana baada ya kulishwa keki |
![]() |
Uongozi wa WWK Section ya Kinondoni ukimpa hongera Mwangalizi aliyepita |
![]() |
WWK Mwenge TAG wakimpongeza Mchungaji wao Mwangalizi aliyepita kwa kazi yake nzuri |
![]() |
Imani Kwaya ya Mwenge TAG ikimpongeza Mchungaji wao mwangalizi aliyepita |
![]() |
Watoto wa Mwenge TAG wakimletea zawadi kwa furaha Mchungaji wao ambaye ni mwangalizi aliyepita |
![]() |
Watoto wa Mwenge TAG na Mwangalizi aliyepita |
No comments:
Post a Comment