''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''
Showing posts with label new habari. Show all posts
Showing posts with label new habari. Show all posts

Sunday, January 20, 2013

MTOTO WA MCHUNGAJI ATANGAZA UCHUMBA LEO

Ndugu Shedrack E Mboma akijulikana sana kama Isega, ambaye ni mtoto wa marehemu Mchungaji James Mboma ametangaza uchumba leo katika kanisa la Mwenge TAG.







                                        Mama wa Shedrack(Isega) akifurahia kupata mkwe


                                            Dada yake Shedrack akimfurahia wifi yake

                                        Watu wakimiminika kwenda kuwapa hongera