''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Friday, January 18, 2013

KARIBU MWENGE TAG, WE'RE BACK AGAIN!
----------------------------------------------------
Ndugu Msomaji Tunakukaribisha kujiunga na Tanzania assemblies of God  Mwenge Leo.
Nafasi yako ipo.Njoo upokee Faraja,Uponyaji na Mafundisho ya  Bwana Yesu Christo.

Tumefungua upya blog hii ili kuweza kukupatia wewe msaada wa kiroho katika mafundisho mbalimbali. Endelea kufuatilia blog yetu na Mungu akubariki.No comments:

Post a Comment