''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Sunday, January 20, 2013

IBADA YA WATOTO YAANZA RASMI LEO


Leo kanisani Mwenge imezinduliwa rasmi ibada ya watoto. Ibada hiyo ilizinduliwa rasmi na mchungaji kiongozi Abdiel Meshack Mhini, akiizungumzia ibada hiyo mchungaji Mhini alimteuwa Mrs. Mumghamba kuwa  mchungaji wa kanisa hilo.

Habari zaidi zitafuata punde...


No comments:

Post a Comment