''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, January 20, 2013

MTOTO WA MCHUNGAJI ATANGAZA UCHUMBA LEO

Ndugu Shedrack E Mboma akijulikana sana kama Isega, ambaye ni mtoto wa marehemu Mchungaji James Mboma ametangaza uchumba leo katika kanisa la Mwenge TAG.                                        Mama wa Shedrack(Isega) akifurahia kupata mkwe


                                            Dada yake Shedrack akimfurahia wifi yake

                                        Watu wakimiminika kwenda kuwapa hongera
1 comment:

  1. hongera sana mamii joy...mungu awaongoze katika kila lililobakia

    ReplyDelete