''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Thursday, January 31, 2013


KATIBU WA VIJANA MWENGE TAG ATANGAZA UCHUMBA…..
----------------------------------------------------------------------

Katibu wa chama cha vijana(CA’s) Mwenge TAG, aitwaye Joseph Apolinary ametangaza uchumba na dada Martha Zephania wa kanisa la Pentekoste (KLPT) kiluvya. Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa kanisa na hasa zaidi kwa vijana, kwa kuona katibu wao amepata mchumba. Tunamuomba Mungu awalinde wachumba hawa mpaka ndoa. 




























1 comment: