''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Saturday, January 26, 2013

WWK SECTION YA KINONDONI WAKESHA... 
---------------------------------------------------
Wanawake Watumishi wa Kristo(WWK) wa section/sehemu ya kinondoni wakesha usiku wa ijumaa kuamkia leo katika kanisa la Mwenge TAG, wakimuomba Mungu alisaidie Kanisa, Taifa na Familia.

Habari zaidi zitapatikana punde....No comments:

Post a Comment