''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, March 31, 2013

SIKUKUU YA PASAKA MWENGE TAG!!!

Leo ilikuwa ni furaha nderemo na vifijo kwa Bwana Wetu Yesu Kristo, na hapo chini ni watakatifu wakiwa wanamshukuru kwa makofi na vigelegele kwa ajili ya mambo mengi aliyowafanyia likiwemo kubwa la kuwafia msalabani.


 

Tulibarikiwa kupata wageni katika ufande wa music, wanaitwa "VOCA PELEA" ni wanaimba accapera mpaka basi!!


 Mr. Shija akimshukuru Mungu kwa kumponya mke wake mrs. Shija(aliyeshika biblia) aliyefanyiwa operation mara 2 na sasa ni mzima


Binti huyu aliamua leo kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake

             Asante Yesu kwa kunifia msalabani, usingekuwa wewe mimi ningekuwa wapi.....

No comments:

Post a Comment