''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Sunday, May 5, 2013

UPONYAJI WA NAAMANI NA UOVU WA GEHAZI...

MAANDIKO: 2Wafalme 5:14-27
MHUBIRI: Mch. Peter Mitimingi


2Wafalme 5:1, 3, 14 - 27
1 Basi Naamani, jemadari wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa mbele ya bwana wake, na mwenye kuheshimiwa, kwa sababu kwa mkono wake Bwana alikuwa amewapa Washami kushinda; tena alikuwa mtu hodari wa vita; lakini alikuwa mwenye ukoma

MAFUNGU MATATU YA WATU
1.    Naamani na Watu Wenye TAbia Kama za Naamani.
2.    Elisha na Watu Wenye tabia kama za Elisha.
3.    Gehazi na Watu Wenye Tabia kama za Gehazi.

FUNGU LA KWANZA NAAMANI NA WATU WENYE TABIA KAMA ZA NAAMAN
1.   Naamani Alikuwa Mtu Mwenye Hadhi Kubwa.
2.   Hakuna Mtu Anaye Jitosheleza Mwenyewe.
3.   Mungu Anaweza Kuwatumia Watu wa Hali ya Chini Kukuokoa.
4.   Kilichomwokoa Naamani ni Utii wake.
5.   Namani Alijua Kurudisha Shukrani.

FUNGU LA PILI 
ELISHA NA WATU WENYE TABIA KAMA ZA ELISHA

Elisha Anawakilisha wakristo na watumishi wa Mungu walioamua kumwishia Mungu kikamilifu bila ya michanganyo yoyote.

1.   Elisha Alikuwa Mtumishi Sahihi wa Mungu.
2.   Elisha Alikuwa na Uhitaji Lakini Alisubiri Wakati wa Mungu.
3.  Kukataa Pesa Ilikuwa ni Kutunza Heshima ya Mungu.

4.   Elisha Alimtofautisha Mungu wa Kweli na Miungu Sanamu.

 
FUNGU LA TATU 
GEHAZI NA WATU WENYE TABIA KAMA ZA GEHAZI

Gehazi Anawakilisha Wapendwa Wakristo (Walokole) Walioko Makanisani na kwenye huduma lakini bado wanaishi na mambo ya kidunia.
  
1.   Gehezi Mtumishi Mwenye Roho za Kidunia.
2.   Gehazi Alitawaliwa na Roho ya Tamaa ya vitu vya Dunia Hii. 
3.  Gehezi Alitawaliwa na roho ya uwongo.


Tazama Maeneo 3 ya Uwongo na Uzushi wa Gehazi:
                                i.            Kuna wageni wawilikutoka milima ya Efraim (why Efraim not Manasse)

                              ii.            Wageni wenyewe ni Wana wa Manabii (Anataja vyeo vya kitumishi kuongezea uzito uwongo wake)

                            iii.            Anataja vitu anavyo vitaka kana kwamba ndio list aliyopewa na Elisha.


4.   Gehazi Alitawaliwa na Ubinafsi.
5.   Roho ya Kutokuwa na Moyo wa Toba (Moyo mgumu)






 

No comments:

Post a Comment