''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Wednesday, May 1, 2013

SEMINA KUBWA YA VIJANA YAFANYIKA LEO MWENGE TAG!!

Semina kubwa ya vijana yafanyika leo katika kanisa la Mwenge TAG, zaidi ya vijana elfu tatu(3000) walipata nafasi ya kuhudhuria semina hiyo. Semina hiyo ilikuwa inaongozwa na Pastor Mitimingi kwa msaada wa Roho Mtakatifu. Semina hiyo ilianza saa mbili asubuhi na kuisha saa kumi na moja jioni. Somo lilikuwa "Ulimwengu Wa Vijana Na Zinaa". Notes zitapatikana hivi punde..
1 comment: