''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, April 28, 2013

IMANI KWAYA YAZINDUA LEO TOLEO LAO JIPYA!

Imani kwaya ya TAG Mwenge, leo imezindua rasmini toleo lao jipya lililopo katika mfumo wa 'dvd'. Toleo hilo jipya linaitwa "Mungu Wetu Halinganishwi". Katika ibada hiyo ya uzinduzi,Imani kwaya ilimkaribisha Mke wa Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mrs. Mizengo Pinda, kuwa Mgeni Rasmini.

                                 Imani kwaya ikiwa inamsifu Mungu kwa furaha wakati wanaingia

                                                         Imani kwaya ikiwa inamsifu Mungu

                                                       Imani kwaya ikiwa inamsifu Mungu

Lakini pia Praise Team haikubaki nyuma, Ilimsifu Mungu ipasavyo

 
Praise Team ikiongoza sifa

Praise Team ikimwabudu Mungu

                                Imani kwaya mbele wakijiandaa kusikia kutoka kwa mgeni rasmi

                     Waumini wakisikiliza kwa makini hotuba iliyotolewa na mgeni rasmi Mhe. Mrs. Pinda

                                  Huyu Ndiye aliyekuwa mgeni rasmi, Mhe. Mrs Mizengo Pinda

 n                      Mchungaji kiongozi Mch. Mhini na Mhe. Mrs Pinda wakimwabudu Mungu

                                                     Picha ya pamoja ya Imani kwaya

Hao ni baadhi ya Mwenge Praise Team wakiwa na Victor Aron wa Praise Power Radio ambaye alikuwa ni MC wa leo


No comments:

Post a Comment