Kanisa la TAG KIBWEGELE na waumini wake wote leo laitembelea MWENGE TAG kuja kutoa shukrani yao ya dhati.
---------------------------------------------------------------------------------------------
 |
Baadhi ya viongozi wa kanisa hilo wakiwakilisha kanisa zima mbele ya madhabahu wakati wa kuwasilisha shukrani hiyo |
 |
Mch. Amon Nyimbi wa Kibwegele akiwa amebeba mojawapo ya zawadi walizokuja nazo |
 |
Mch. Amon akimpatiza Mch. Mhini wa Mwenge TAG zawadi kwa niaba ya kanisa zima |
 |
Na mbuzi aliyeshikwa hapo alipewa Mch. wa mwenge TAG ili akale yeye na familia yake |
 |
Viongozi wa kanisa la Kibwegele wakiombewa kwa niaba ya kanisa lao ili Mungu azidi kuwatia nguvu na kuwa bariki katika huduma yao. |
No comments:
Post a Comment