''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Monday, November 24, 2014

MAMLAKA ANAYOPEWA MTU ANAPOJULIKANA NA MUNGU

Mhubiri:Mch. NIKODEM
Maandiko: Ufunuo 1:12-18, Mathayo 18:18, 16:18-19
Mhubiri amefundisha ukijulikana na Yesu anakupa mamlaka kwa kuwa yeye Yesu anamamlaka  yote Mbunguni na Duniani. Hakuna kinacho jificha kwake maana ana funguo za mauti, na za kuzimu.

Tukijulikana vizuri na Yesu atatupa Nguvu na mamlaka  kama yeye  hivyo hatutakiwe kuogopa  maana lolote tutakalo funga Duniani na Mbunguni limefungwa,
No comments:

Post a Comment