''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, August 2, 2015

UJAZO WA ROHO MTAKATIFU - Kunena Kwa Lugha Kunakujenga.

Makanisa  yetu leo yameingiza ustarabu yakaacha mambo muhimu. Kabla somo halijaanza hebu jiulize haya maswali
 
1. Ushawahi kuona kwenye ministries wanaombea ujazo wa Roho Mtakatifu? huwa wanaombea wagonjwa lakini huwa hawaombei ujazo wa Roho Mtakatifu na hapo ndipo kwenye siri.

2. Je Umejazwa na Roho Mtakatifu na unaendelea kunena kwa lugha?

3. Je unaimba kwa lugha? umejazwa Roho Mtakatifu vizuri lakini unaimba kwa lugha ya Roho Mtakatifu

4. Je unamsikia Roho Mtakatifu akisema nawe? na unaweza kutofautishwa sauti ya Roho Mtakatifu na sauti nyingine?

 

No comments:

Post a Comment