''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, February 14, 2016

MUNGU ANA MPANGO KAMILI KWA AJILI YAKO

Mhubiri: Mch. Issack Chalo
Mhubiri: Mwanzo 12:1-4, Mathayo 1:1
 
Tunaona Mungu alivyomuita Abrahamu kwa kusudi maalumu kutoka katika mji wao. Ule ulikuwa ni ufunuo kwamba kupitia yeye atakomboa ulimwengu. Tunajua habari ya Adamu na Eva jinsi walivyomkosea Mungu na baada ya hapo Mungu aliweka ahadi katika Mwanzo 3,kwahiyo kutolewa kwa Abraham ilikuwa ni maandalizi ndomana tukasoma katika Mathayo 1:1 "Katika cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu".
 
 Kwahiyo tunaona Mungu anamuita Abraham, hapa Mungu alikuwa anafikiria mambo ya mbele sana, mpango wa Mungu wa kumleta Yesu ulianza nyuma nyuma sana, kuitwa kwa abraham ndiko kuliko sababisha mpaka leo wewe kuwepo hapo kanisani/katika wokovu.
 
 

No comments:

Post a Comment