----------------------------------------------------------------------
Hii ni harusi ya kwanza kabisa katika mwaka huu kufungwa Mwenge TAG, ilikuwa ni furaha isiyoelezeka..., ndoa hiyo ni kati ya Mkurugenzi wa Vijana (CA's) Elisha Suku na dada Caroline.
Kama mnavyojua Elisha ni mwana praise team kwahiyo hakusita kusimama yeye na mke wake kucheza wakati Imani kwaya wakiimba
No comments:
Post a Comment