''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Monday, February 18, 2013

MUNGU AZIDI KUWABARIKI WATUMISHI WAKE VYOMBO VYA USAFIRI
---------------------------------------------------------------------------------------

           Hao ni watumishi wa Mungu wakiombea gari mpya ya Mch. Mitimingi, aina ya Suzuki Swift

                  Watumishi wa Mungu wakiombea gari mpya ya Ndg. Anold, aina ya Toyota Voxy

Na huyo ndio Ndg. Anold akipewa hongera na Mch. Meshark Mhini


No comments:

Post a Comment