MHUBIRI: Mch. Peter Mitimingi
2Wafalme 5:1, 3, 14 - 27
1
Basi Naamani, jemadari wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa mbele ya
bwana wake, na mwenye kuheshimiwa, kwa sababu kwa mkono wake Bwana alikuwa
amewapa Washami kushinda; tena alikuwa mtu hodari wa vita; lakini alikuwa
mwenye ukoma
MAFUNGU MATATU
YA WATU
1. Naamani na
Watu Wenye TAbia Kama za Naamani.
2. Elisha na
Watu Wenye tabia kama za Elisha.
3. Gehazi na
Watu Wenye Tabia kama za Gehazi.
1. Naamani Alikuwa Mtu Mwenye Hadhi Kubwa.
2. Hakuna Mtu Anaye Jitosheleza Mwenyewe.
3. Mungu Anaweza Kuwatumia Watu wa Hali ya Chini
Kukuokoa.
4. Kilichomwokoa Naamani ni Utii wake.
5. Namani Alijua Kurudisha Shukrani.
ELISHA NA WATU WENYE TABIA KAMA ZA ELISHA
Elisha Anawakilisha wakristo na watumishi wa
Mungu walioamua kumwishia Mungu kikamilifu bila ya michanganyo yoyote.
1. Elisha Alikuwa Mtumishi Sahihi wa Mungu.
2. Elisha Alikuwa na Uhitaji Lakini Alisubiri
Wakati wa Mungu.
3. Kukataa Pesa Ilikuwa ni Kutunza Heshima ya
Mungu.
4. Elisha Alimtofautisha Mungu wa Kweli na Miungu
Sanamu.
GEHAZI NA WATU WENYE TABIA KAMA ZA GEHAZI
Gehazi Anawakilisha Wapendwa Wakristo (Walokole)
Walioko Makanisani na kwenye huduma lakini bado wanaishi na mambo ya kidunia.
1. Gehezi Mtumishi Mwenye Roho za Kidunia.
2. Gehazi Alitawaliwa na Roho ya Tamaa ya vitu vya
Dunia Hii.
3. Gehezi Alitawaliwa na roho ya uwongo.
Tazama
Maeneo 3 ya Uwongo na Uzushi wa Gehazi:
i.
Kuna
wageni wawilikutoka milima ya Efraim (why Efraim not Manasse)
ii.
Wageni
wenyewe ni Wana wa Manabii (Anataja vyeo vya kitumishi kuongezea uzito uwongo
wake)
iii.
Anataja
vitu anavyo vitaka kana kwamba ndio list aliyopewa na Elisha.
4. Gehazi Alitawaliwa na Ubinafsi.
5. Roho ya Kutokuwa na Moyo wa Toba (Moyo mgumu)
No comments:
Post a Comment