''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Sunday, January 5, 2014

SIKU YA UINJILISTI MWENGE TAG

mabinti wawili walikubali kuokoka

Mabinti waliokubali kumpokea Bwana Yesu wakiwa wanaombewa na wachungaji

Mabinti waliokubali kumpokea Bwana Yesu wakiwa wanaombewa na wachungaji

Mzee Msaki akitoa taarifa ya uinjilisti ya mwaka 2013

Mzee Msaki akiwa anatoa mfano wakati alipokuwa akifundisha watakatifu

Mzee msaki akiwa anahubiri

Dada Susan akimshukuru Mungu kwa kumtendea mambo makubwa katika maisha yake

Dada Susan akimshukuru Mungu kwa kumtendea mambo makubwa katika maisha yake

No comments:

Post a Comment