''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, January 25, 2015

SIFA ZA KIPEKEE ZA MUNGU

Mhubiri: Mch. Kiongozi Abdiel Mhini
Maandiko:zaburi 139:1-6,7-12,kutoka 3:14

Sifa za Mungu ziko nyingi lakini msingi unasimama katika maeneo matatu:
Kwa kuwa Mungu ndiye aliyeziumba mbingu na nchi.
  1. Ana nguvu zote! (omnipotent)
  2. Mungu anajua yote/vyote! (omniscient) unachowaza anajua, unachosema anajua, unachofikiri anajua, hata kabla hujawaza ashajua, huwezi kumficha kitu
  3. Yupo kila mahali! (omnipresent) anasikia kwa muda huo huo anajua kwa muda huo huo anajua na anajibu kwa muda huo huo bila kupoteza hata dakika moja ana nguvu zote

No comments:

Post a Comment