KATIBU WA VIJANA MWENGE TAG ATANGAZA
UCHUMBA…..
----------------------------------------------------------------------
Katibu wa chama cha vijana(CA’s) Mwenge
TAG, aitwaye Joseph Apolinary ametangaza uchumba na dada Martha Zephania wa
kanisa la Pentekoste (KLPT) kiluvya. Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa kanisa
na hasa zaidi kwa vijana, kwa kuona katibu wao amepata mchumba. Tunamuomba
Mungu awalinde wachumba hawa mpaka ndoa.
mlipendeza
ReplyDelete