''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Sunday, February 3, 2013

MWENYEKITI WA PENUEL KWAYA ATANGAZA UCHUMBA LEO!!
-----------------------------------------------------------------------------
Mwenyekiti wa kwaya ya vijana Penuel Singers, Mwenge TAG aitwaye Robson Lemgoha atangaza uchumba leo rasmini!. Mchumba wake anaitwa Rehema Mgavilwa anaye abudu hapo hapo Mwenge TAG.


 
 







 
 

 
 




 
 




 
 

No comments:

Post a Comment