''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Sunday, November 9, 2014

KARIBU TUMWABUDU MUNGU

Ni Jumapili nyingine tena ambayo Bwana Wetu Yesu Kristo ametupa sisi kama Watoto wa Mungu, hivyo kwa Moyo wa Unyenyekevu yatupasa kurudisha sifa na Shukrani mbele zake yeye kwa kuwa yeye Ni Bwana wa Mabwana na Mungu wa Miungu hakuna Mwingine. 

Amka! Wahi nyumbani mwa Bwana  kumwabudu yeye naye atakubariki.

No comments:

Post a Comment