''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Sunday, March 10, 2013

                           SIKUKUU YA WANAWAKE WATUMISHI WA KRISTO (WWK)
                           -------------------------------------------------------------------

Hapo ni mwanzo kabisa wamama wakikaribishwa kuingia kwa maandamano.
                             
WWK wakiingia kwa maandamano, walipendeza!!

Maandamano

Watakatifu wakiwashangilia wamama wakati wanaingia kwa maandamano

Kwaya ya wamama(WWK)

Wamama wakijiandaa kuimba wimbo wa pili

Jamani huyu dada mnavyomuona hapo ni Mungu tu, alikuwa kitandani anaumwa sana lakini aliposokia kuna sikukuu ya Wamama, alisema lazima nimwimbie Mungu, na Mungu akamtia nguvu, na hapo ndo anaimba

Dada yetu akiendelea kumwimbia Mungu akisindikizwa na baadhi ya wamama

WWK wakiongoza sifa na kuabudu

Mrs. masembo akiongoza mnada wa wanawake, na hapo alikuwa anafungua kwa Neno la Mungu. Mungu alibariki shughuli hiyo na hicho kitenge nyuma yake kiliuzwa kwa 530,000/= na wengine wakazidi kuchangia.

Wanawake hawakuishia kuimba tu, bali waliwakumbuka Watumishi wa Mungu na kuwategemeza. Hapo juu ni watumishi wa Mungu.

Hapo ni Mwenyekiti wa WWK akifungua kipindi cha kuwatunza wachungaji.

Wanawake walimkabidhi Mchungaji kiongozi Mhini, Tani 1 ya cement ianze kujenga ukuta wa nyumbani kwake, na hapo anakabidhiwa risiti. Kweli wanawake wanaweza!!







No comments:

Post a Comment