''Badilisha Maisha yako kwa kumpokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako.''

Monday, October 21, 2013

 IBADA YA TAREHE: 27-10-2013
UJUMBE: VISION (MAONO)
MHUBIRI:
Benard Okech
 

Purpose of Vision
1. Vision as a catalyst of action
2. Vision as a vehicle to your destination
3. Vision as a tool for improvement
4. Vision as a map for a traveler
5. Vision as a marking scheme for life exams
 

What to do with your vision
Habakkuk 2:2-3

Habakuki 2:2-3
 2 Bwana akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.
 3 Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.


1. Write it down so that it is plain and clear
2. Pray over it daily/monthly/annually
3. Share it with the right people
4. Wait for it patiently
5. When it comes to pass accept God's doing and humble yourself  as you implement your vision


Joseph's example
1. Joseph was 11th son to Jacob and first born to Rachel.
2. He had a dream at the age of 17 years (Gen 37:8-11
3. His vision took 13 years to come to pass

 (Gen 37:8-11
 8 Ndugu zake wakamwambia, Je! Kweli wewe utatumiliki sisi? Nawe utatutawala sisi? Wakazidi kumchukia kwa ajili ya ndoto yake, na kwa maneno yake.
 9 Akaota tena ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake, akasema, Angalieni, nimeota ndoto nyingine; na tazama, jua na mwezi na nyota kumi na moja zikaniinamia.

 10 Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie hata nchi?
 11 Ndugu zake wakamhusudu; bali baba yake akalihifadhi neno hili.



Joseph's occupation
1. Shepherd of father's flock and messenger
2. Slave at Potiphar's house
3. Convict in jail due to his integrity
4. Ruler (second in command from Pharaoh)



Joseph's accomplishment
1. Rose in power from slave to ruler of Egypt
2. Had personal integrity and did not give in to seduction by Potiphar's wife
3. Was a man of spiritual sensitivity-interpreted the dreams of Pharaoh's servants & Pharaoh's dreams


4. Prepared a nation to survive famine
5. Rescued his whole family from famine
6. The spirit of God was in him


Conclusion
1. What vision do you have in life?
2. What are you doing to reach it?
3. Can you write it down in three sentences and pray over it?  





 







-------------------------------------------------------------------------------------------------------------


SIKUKUU YA CA's
---------------------
MHUBIRI: Miss. Mary Hango
UJUMBE: TUMEKOMBOLEWA NA YESU KRISTO.
MAANDIKO: Yohana 3:16, Efeso 2:12-14
 
NI kweli zamani zile ulikuwa umefarakana na Mungu, Lakini ni nani basi angekuja kutupatanisha, tulikuwa hatuna matumaini tulikuwa hatuna mtu wa kutupatanisha na Mungu kwahiyo kwa maana nyingine tulikuwa hatuna Mungu. Lakini Mungu alimtoa mwana wake wa pekee Yesu Kristo ili atupatanishe sisi na Mungu.  

Kwahiyo leo hii baada ya kumpokea Yesu kristo viambaza vyote vimeondoka, hakuna kiambaza tena kinachokutenga wewe na Mungu, Yesu kristo alishatoa kiambaza. Je leo hii ni kiambaza gani kinachokutenga na Mungu?, Hatununuliwi tena tumeshanunuliwa na damu ya Yesu Kristo, tumeshakombolewa na Damu Ya Yesu. Wewe umekombolewa na Yesu Kristo hakuna haja ya kutanga tanga. Mwambie Mungu hata katika ujana au uzee wako akusaidie kutembea katika utakatifu, akuwezesha kutembea nae.

Je Kwa Kupitia Yesu Kristo Umepata nin?

 1. Umepewa msamaha wa dhambi

2. Tumepewa Tumaini na Faraja





No comments:

Post a Comment