''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, April 15, 2018

NI KIZAZI GANI KITAINUKA BAADA YAKO

Mhubiri: Mrs. Angel Bumeta - Calvari Temple
Maandiko: Waamuzi 2:8-14, Kumb 4:9-10

malezi yaanza akiwa tumboni, ni mtumishi wa Mungu kwahiyo anza kumnenea akiwa tumboni, hakuna mtoto wa bahati mbaya. Mtoto anapozaliwa anahitaji upendo wa wazazi na kusemeshwa tangu akiwa mdogo, na kile kitu akikuwa kinakuwa ndani yake tunaona Musa aliacha kufundshwa na mama yake M-Israeli mara baada ya kuacha kunyonyeshwa, akapelekwa kwa mtoto wa Farao kwa miaka mingi lakini alijijua kuwa Yeye si Mmisri na alimfahamu Mungu wa Israel tangu akiwa mdogo. Mfundishe mtoto Neno la Mungu kila wakati atambue Mungu wake. 


No comments:

Post a Comment