''People are being transformed into Jesus Christ through faith and the word of God''

Sunday, September 22, 2019

MAISHA YA KIROHO

Mhubiri: Mch. Kiongozi Abdiel M. Mhini
Maandiko: Luka 1:26-35, Isaya 61:1-3

faida za kuisha maisha mazuri ya Kiroho
- Unapata nguvu ya kukemea mapepo, Efeso 6:
- Utapata ujasiri na nguvu za kutumika matendo 14:3
- unakuwa mpole na mtaratibu hayo ni matokea ya kukaa katika Roho
- Unapata uwezo wa kuwa Mtakatifu, 1Petro 1:15-16
- Hutayumbishwa na mafundisho potofu, sasa hivi kumekuwa na mafundisho mengi na watu wengi ambao hawajui wanatembea huku na kule kutafuta miujiza lakini ukimtegemea Roho Mtakatifu hutayumbishwa

Matendo 6:1-4, 
Kwahiyo tulia na Roho Mtakatifu, WaKristo wengi wa sasa ni tofauti na wa Enzi ya Paulo utofauti mkubwa ni Nguvu ya Roho Mtakatifu. Ndio damu ya Yesu inatenda kazi lakini ni lazima wewe mwenyewe uchochee kuwa katika Roho Mtakatifu muda wote.

No comments:

Post a Comment